Skip to main content
Spotify for Podcasters
Sheria Poa Podcast

Sheria Poa Podcast

By Privaty Rugambwa

Sheria Poa, ni kipindi ambacho tunaongelea maswala mbalimbali ya jamii kwa mtazamo wa sheria na kwa lugha nyepesi kabisa na ya kiurafiki, ni kipindi cha kufundisha na kusaidia kwa watu wa aina zote.
Available on
Apple Podcasts Logo
Google Podcasts Logo
Pocket Casts Logo
RadioPublic Logo
Spotify Logo
Currently playing episode

The concept of Marital Rape: Time to amend our laws? (Suala la Ubakaji ndani ya ndoa: Je ni muda wa kurekebisha sheria zetu?)

Sheria Poa PodcastAug 25, 2021

00:00
38:25
The concept of Marital Rape: Time to amend our laws? (Suala la Ubakaji ndani ya ndoa: Je ni muda wa kurekebisha sheria zetu?)

The concept of Marital Rape: Time to amend our laws? (Suala la Ubakaji ndani ya ndoa: Je ni muda wa kurekebisha sheria zetu?)

Swala la ubakaji ndani ya ndoa; yaani mume kumbaka mke wake, ni tatizo kubwa sana duniani. Suala hili pia limekuwa likiwatokea wanandoa wengi sana Tanzania na hivyo kuibua maswali mengi sana juu ya sheria zetu katika suala hili, na wengi wamekuwa wakiuliza kama ndoa ni kibali au leseni ya kubaka (whether marriage is a licence to rape) Kwenye mada hii leo tupo na Wakili Msomi Victor Mwakimi, Wakili Msomi Andrew Manumbu na Dada Carol Manyama. Tukiangalia kwa undani suala zima la ubakaji ndani ya ndoa na kama kwa sheria zetu za Tanzania swala hili linaweza likajitokeza na endapo likijitokeza nini haswa kinatakiwa kifanyike kuhakikisha vitendo hivi vinakomeshwa mara moja. Unaweza kupata sheria: https://rita.go.tz/eng/laws/History%20Laws/Marriage%20Ordinance,%20(cap%2029).pdf Sheria ya Kanuni za Adhabu https://tanzlii.org/tz/legislation/act/2019-11
Aug 25, 202138:25
Jinsi ya kumiliki eneo ndani ya jengo Tanzania (Unit Titles / Condominium)

Jinsi ya kumiliki eneo ndani ya jengo Tanzania (Unit Titles / Condominium)

Kipindi cha leo ni muendelezo wa mada ya kujua jinsi ya kumiliki ardhi Tanzania. Leo tupo na Wakili Msomi Victor Mwakimi, na mazungumzo ya leo ni kujua hasa jinsi mtu anaweza akamiliki eneo ndani ya jengo. Pia kuzungumzia kuhusu haki azipatazo mtu anayenunua eneo ndani ya jengo au eneo na zile anazopata mtu aliyenunua kiwanja au nyumba na kama kuna utaofauti wowote kati ya wamiliki hawa. Kujua zaidi kuhusu wawasilishaji; Victor  Mwakimi; https://tz.linkedin.com/in/victor-mwakimi-5a5188125 https://www.lysonlaw.co.tz/member/vmwakimi@lysonlaw.co.tz Privaty Rugambwa; https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/ https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/ Emmanuel Bakilana; https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123 Kupakua sheria; The unit titles Act;  http://lands.go.tz/uploads/documents/en/1456495481-The%20Unit%20Titles%20Act%20No.%2016%20of%202008.pdf
Aug 11, 202121:43
Mikataba ya wachumba kabla ya Ndoa (Prenups) - Tanzania

Mikataba ya wachumba kabla ya Ndoa (Prenups) - Tanzania

Mikataba ya wachumba kabla ya ndoa (Prenups) ni mikataba ambayo wanandoa watarajiwa huingia kuhusu mali walizochuma kabla ya kufungua ndoa husika. Aina hii ya mikataba lengo lake kuu huwa ni kuhakikisha mali ambazo wanandoa wamechuma kabla ya ndoa husika hazitokuwa mali za pamoja za wanandoa hao endapo ndoa hiyo itavunjika. Katika kipindi cha leo tupo na Wakili msomi Emmanuel Bakilana, ambaye anatufafanulia kuhusu mikataba hii, madhumuni yake, faida na hasara zake kwenye jamii yetu ya kitanzania na sisi kama jamii tunahitaji aina hii ya mikataba. Kwa maelezo zaidi kuhusu wazungumzaji; Privaty Rugambwa https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/ https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/ Emmanuel Bakilana https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123 Kwa maelezo zaidi juu ya Mikataba ya wanandoa kabla ya ndoa Kupakua Sheria The Law of Marriage Act [CAP 29 RE 2019] https://rita.go.tz/eng/laws/History%20Laws/Marriage%20Ordinance,%20(cap%2029).pdf Tovuti https://www.investopedia.com/terms/p/prenuptialagreement.asp https://www.graysons.co.uk/advice/prenuptial-agreements/ https://brittontime.com/2021/02/22/what-is-a-prenup-and-how-do-they-work/
Aug 11, 202128:08
Masuala ya Ardhi katika Mirathi

Masuala ya Ardhi katika Mirathi

katika kipindi hiki, tuko pamoja na wakili Victor Mwakimi akiendelea kuzungumzia kwa kina Masuala ya ardhi katika mirathi. Karibu ujumuike nasi.
Jul 07, 202150:02
Unyanyasaji wa Kingono kwenye Sehemu za Kazi

Unyanyasaji wa Kingono kwenye Sehemu za Kazi

Sheria ya kazi na mahusiano ya kazi ya mwaka 2004 kama ilivyofanyiwa maboresho mwaka 2019, imezungumzia kidogo sana juu wa unyanyasi wa kingono kwenye sehemu za kazi. Sheria imeweka unyanyasaji wa kingono chini ya makundi au aina ya ubaguzi mahala pa kazi na hivyo kuonekana kama ni tatizo dogo sana kwenye eneo la kazi na mahusiano ya kazi. Kumekuwa na matatizo mengi sana juu ya tatizo hili la unyanyasaji wa kingono kazini, watu wengi sana wamekuwa wakinyanyaswa na watu mbalimbali ikiwemo waajiri au hata wafanyakazi wenzao na hivyo kusababisha matatizo makubwa sana kwao ikiwemo msongo wa mawazo. Katika kipindi chetu cha leo kama ilivyo ada, tupo na Dada Chiku Semfuko, ambaye ni Mwanataaluma kwenye maswala ya kinjisia. Chiku amebahatika kufanya kazi sehemu mbalimbali juu ya maswala ya kazi hususan masuala ya unyanyasaji wa kingono kazini. Katika kipindi chetu cha leo tunazungumza nae kinagaubaga juu ya swala hili, ukubwa wa tatizo na nini kifanyike kuweza kupunguza tatizo hili kwenye jamii yetu kwa ujumla. Kuhusu watoa mada; Chiku Semfuko  https://tz.linkedin.com/in/chiku-mariam-semfuko-04907b73 Privaty Rugambwa https://tz.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a Kupakua Sheria ya kazi na Mahusiano Kazini; https://www.ilo.org/dyn/natlex/docs/ELECTRONIC/68319/104204/F-894240970/TZA68319.pdf
Jun 23, 202144:47
Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania

Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania

Sikuhizi imekuwa ni kitu cha kawaida kuona nyumba au watu wakifuga wanyama mbalimbali kama mbwa au paka kama wanyama rafiki, kwa ajili ya majumbani kwa ilinzi au tu kama marafiki. Pia imekuwa ni kama desturi kuona vijana wakiwa wanauza wanyama hawa barabarani au sehemu mbalimbali kwenye miji mbalimbali Tanzania. Kumekuwa na maswali mengi sana kutoka kwa wadau na kwenye mitandao juu ya haki za wanyama wafugwao majumbani na wajibu ya watunza wanyama hawa.  Katika kipindi cha leo, watoa mada wetu leo ni Mawakili Wasomi Ndugu Privaty Rugambwa, na Emmanuel Bakilana wamefanya tafiti juu ya haki za wanyama hawa wafugwao majumbani na katika kipindi cha leo tutapata kujua haki za wanyama hawa na wapi kama jamii tunafanya makosa. Kujua zaidi kuhusu wawasilishaji; Deodatus Tesha; https://tz.linkedin.com/in/deo-tesha-32545776 Privaty Rugambwa; https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/ https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/ Emmanuel Bakilana; https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123 Kupakua sheria na nyaraka; https://www.mifugouvuvi.go.tz/uploads/publications/sw1595835544-Animal%20Welfare%20Act%202008.pdf https://www.mifugouvuvi.go.tz/uploads/publications/sw1595837886-SERA%20YA%20MIFUGO.pdf
Jun 09, 202131:10
Land as a source of investment through Mortgages

Land as a source of investment through Mortgages

With us in today's episode is Advocate Victor Mwakimi, the Founding and Managing Partner of Lyson Law Group. Victor has nearly 10yrs of experience in legal practice specializing in Banking and Finance, Litigation and Conveyancing. Advocate Mwakimi gained his experience and passion for litigation and drafting of legal instruments while working for Trustworth Attorneys and later Gabriel & Co, where he was in charge of preparing and perfection of mortgages and other securities as Head of the Firm's Banking and Finance Practice. He is a well rounded Corporate Attorney who is admired by his clients and colleagues alike for his dedication to service, delivery and etiquette. In this episode he will be deliberating on laws governing mortgages and matters that  a title holder needs to put in consideration before going into this avenue. Hosted By Emmanuel Gashi Bakilana and Privaty Rugambwa; To go further about; Victor Lyson Mwakimi; https://tz.linkedin.com/in/victor-mwakimi-5a5188125 https://www.lysonlaw.co.tz/member/vmwakimi@lysonlaw.co.tz Privaty Rugambwa; https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/ https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/ Emmanuel Bakilana; https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123
May 12, 202135:49
Dos and Donts on acquisition of Land In Tanzania, Part One

Dos and Donts on acquisition of Land In Tanzania, Part One

Today we are discussing the Dos & Donts on Acquisition of Land In Tanzania, Acquisition of Land in Tanzania is a verse subject and one of the most challenging transactions as it requires individuals or organisations to visit various government offices to make sure this transaction goes smooth, it does-not matter whether you have acquired a general or village land, but the process of getting one is cumbersome. Our Guest in today's episode is Advocate Mr. Victor Mwakimi, is the Founding and Managing Partner of Lyson Law Group,  has nearly 10yrs of experience in legal practice having specialised in Banking and Finance, Litigation and Conveyancing. Mr. Mwakimi gained his experience and passion for Litigation as well as the drafting of legal instruments while working for Trustworth Attorneys and later Gabriel & Co, Attorneys at Law, where he was in charge of the preparation and perfection of all forms of securities as Head of the Firm's Banking and Finance Practice. Mr. Mwakimi is a well rounded Corporate Attorney who is admired by his clients and colleagues alike for his dedication to service delivery and passion for research.  During the course of his career,  Mr. Mwakimi has handled the full range of securities on behalf of most of the major banking and financial institutions in Tanzania at all levels of complexity. In this episode he will be discussing with us, on how can someone acquire land and what mistakes people make and what should someone avoid during this land acquisition process.  Hosted By Emmanuel Gashi Bakilana and Privaty Rugambwa; To go further about; Victor Lyson Mwakimi; https://tz.linkedin.com/in/victor-mwakimi-5a5188125 https://www.lysonlaw.co.tz/member/vmwakimi@lysonlaw.co.tz Privaty Rugambwa; https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/ https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/ Emmanuel Bakilana; https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123
Apr 28, 202134:06
Striking a Balance Between Tight Work Schedule & Mental Health; With Nadia Ahmed

Striking a Balance Between Tight Work Schedule & Mental Health; With Nadia Ahmed

In our episode 4 we are discussing on how to strike a balance between a tight work schedule and Mental health, Mental health is a challenging problem to our society and we are discussing on how to face this problem in accordance to the laws available. Our guest today is Nadia Ahmed who is a Psychologist and Registered Counsellor, Lecturer, Yoga and Mindfulness Meditation Teacher, Neurolinguiatic Programming and Life Coach, Mental Health and Wellness Expert, Founder and Director of Mind Matters Counselling and Human Development, TEDx Speaker, Young African Leaders Initiative - YALI Alumni, and African Women's Entrepreneurship Cooperative - AWEC fellow. Hosted by Emmanuel Gashi Bakilana; To go further about; Nadia Ahmed, https://tz.linkedin.com/in/nadia-ally-ahmed-156914155 Emmanuel Bakilana; https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123 To go further on mental health in Tanzania; https://tanzania.go.tz/egov_uploads/documents/The_Mental_Health_Act,_2008_-_(Act_No_sw.pdf http://www.mnh.or.tz/index.php/directorates/medical-services/psychiatry https://ps.psychiatryonline.org/doi/pdf/10.1176/ps.2010.61.10.1028 https://bmcpsychiatry.biomedcentral.com/articles/10.1186/s12888-017-1271-9
Apr 14, 202132:00
Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities Available, Part 2

Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities Available, Part 2

Today we are extending our discussion on challenges and opportunities available to women in Legal practice, and our guest today is Flora Obeto, Flora is an Associate at DLA Piper Africa, IMMMA Advocates and the Co- Founder and Managing Director at One Insurance Agency. We will be discussing in details main challenges facing women in legal practice and our main focus being junior lawyers who have just joined the profession, and how to go about the challenges that they are facing. Hosted by Emmanuel Gashi Bakilana and Privaty Rugambwa; To go further about; Flora Obeto; https://www.dlapiperafrica.co.tz/en/tanzania/people/team/flora-obeto.html https://tz.linkedin.com/in/flora-obeto-94782896 https://www.immma.co.tz/people/obeto/index.php Privaty Rugambwa; https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/ https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/ Emmanuel Bakilana; https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123 For More information about International Women’s Day; https://www.un.org/en/observances/womensday/background#:~:text=The%20first%20National%20Woman's%20Day,was%20much%20earlier%20%2D%20in%201848. https://www.thoughtco.com/international-womens-day-3529400 Also of interest https://www.internationalwomensday.com/about https://www.bbc.com/news/world-56169219
Apr 07, 202133:14
Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities, Part 1

Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities, Part 1

International Women's Day is celebrated in many countries around the world. It is a day when women are recognized for their achievements without regard to divisions, whether national, ethnic, linguistic, cultural, economic or political. Source; https://www.un.org/en/observances/womens-day/background#:~:text=The%20first%20National%20Woman's%20Day,was%20much%20earlier%20%2D%20in%201848. Since those early years, International Women's Day has assumed a new global dimension for women in developed and developing countries alike. The growing international women's movement, which has been strengthened by four global United Nations women's conferences, has helped make the commemoration a rallying point to build support for women's rights and participation in the political and economic arenas. Our guests today are Josephine Kingi, Annalise Rwebangira and Deodatus Tesha, Josephine Kingi is a Human Resource Manager at The Export Import Bank of Korea (EDCF), Annalise Rwebangira is an Economist, Policy analyst and gender equality advocate whereas Mr. Deodatus Tesha is an advocate of the High Court and Subordinate Courts thereto save for Primary, specialising in Social Security schemes.  Today we are discussing challenges and opportunities available for women in the legal practice. Hosted by; Emmanuel Gashi Bakilana & Privaty Rugambwa; To go further about; Privaty Rugambwa; https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/ https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/ Emmanuel Bakilana; https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123 Deodatus Tesha; https://www.linkedin.com/in/deodatus-tesha-8a6570b6/?originalSubdomain=tz For More information about International Women’s Day;  https://www.un.org/en/observances/womens-day/background#:~:text=The%20first%20National%20Woman's%20Day,was%20much%20earlier%20%2D%20in%201848. https://www.thoughtco.com/international-womens-day-3529400 Also of interest https://www.internationalwomensday.com/about https://www.bbc.com/news/world-56169219
Mar 31, 202147:46
Matumizi ya lugha ya kiswahili kwenye mfumo wa utoaji haki; Nini ni faida kwa wadau wa mahakama na mfumo mzima wa sheria.

Matumizi ya lugha ya kiswahili kwenye mfumo wa utoaji haki; Nini ni faida kwa wadau wa mahakama na mfumo mzima wa sheria.

Kiswahili ni Lugha ya Taifa na Matumizi ya Kiswahili yanazidi kukua kadri siku zinavyozidi kwenda, pamoja na kukua kwa lugha hii, Kiswahili kimekuwa hakitumiki katika mfumo mzima wa utoaji haki, kwa maana ya kwamba sheria zote za nchi yetu bado zipo kwa lugha ya Kiingereza na hata Mahakama zetu kuanzia ngazi ya Mahakama ya wilaya mpaka Mahakama ya rufani, lugha inayotumika ni Kiingereza. Kitu ambacho kimekuwa ni changamoto kwenye shughuli mbali mbali za utoaji haki. Lugha ya Kiswahili nchini imekuwa ikitumika kwenye mabaraza yote na Mahakama zote za Mwanzo tangu mwaka 1985 kwenye kuendesha mashauri na kutunza kumbukumbu zote, lakini kwenye mahakama za wilaya mpaka mahakama ya rufani, lugha ya kiswahili imekuwa ikutumika kuendesha mashauri laikini kumbukumbu zote za mahakama zimekuwa zikiandikwa kwa Kiingereza. Serikali kupitia Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, wamepetisha mswada wa mabadiliko ya sheria (Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill of 2021 (Muswada), kupendekeza sheria zote za Tanzania Bara kuwa kwa Lugha ya Kiswahili; Hivyo basi katika kipindi hiki tunajadili kiundani ni nini dhumuni kuu la Serikali katika kuleta mapendekezo haya na ni nini zitakuwa changamoto za mabadiliko hayo, kama wanasheria na maafisa wa mahakama ni nini kingine cha ziada kinaweza kufanyika katika kuhakikisha lugha hii yetu adhimu inakuwa na kuendelea kutumika.
Mar 24, 202132:34